HOME       JAMII       SIASA       MICHEZO       CONTACT US

Tuesday, December 4, 2012

UJUMBE WA SIMU TOKA KWA DR. SLAA AKIKIRI KUMILIKI KADI YA CCM


Haya yanajitokeza mara baada ya katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, itikadi na Uenezi Nape Mnauye, mnamo disemba 2 mwaka huu (2012) alipokuwa akifungua Mkutano mkuu wa Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Nyamagana kurusha kombora kuwa vigogo wengi ndani ya CHADEMA kuwa wana kadi za CCM na wengine wanaendelea kuzilipia jambo linalothibitisha unafiki walionao viongozi wengi wa upinzani nchini.

“Kama nasema uongo, Babu Dk. Slaa ajitokeze aseme kadi yake ya CCM aliirudisha lini na kumkabidhi nani. Lakini ninayo orodha ya vigogo wa CHADEMA ambao huja kulipia kadi zao za CCM kila mara. Huu ni unafiki mkubwa” alisisitiza Nape.

Sasa katika kujibu mapigo kwa alichosema Nape huu ndiyo ujumbe wa Dr. Slaa:- 

No comments:

Post a Comment