Wananchi kutoka sehemu mbalimbali wakiwa
wamekusanyika kwa ajili ya kufanya Maandamano ya Kuadhimisha Siku ya
Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 . huko
Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
Waziri wa Afya Juma Duni Haji akitoa Hotuba katika
Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe
1Disemba 2012 huko katika Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B
Zanzibar.kulia yake ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pembe Juma Khamis na
kushoto yake ni Mwenyekiti wa Tume ya Ukimwi Zanzibar Prof,Saleh Idris
Muhammed
Wananchi mbalimbali waliohudhurika katika Maadhimisho
ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba
2012 . wakisoma majarida ya Ukimwi yaliotolewa kwa ajili ya kijifunza
masuala ya Ukimwi.huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B
Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
ANDIKA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HII HABARI
No comments:
Post a Comment